Nyimbo hizi zinalengo la kukuinua, kukupa tumaini, kukupa nguvu mpya kwamba haijalishi unachopitia ukimuangalia MUNGU ataachilia pigo moja litakalo kufanyia njia na kufanya waliokudharau Wakutafute na kujiuliza ni wewe nawe utawajibu Ni Mimi MUNGU ameniganga moyo.
#VailethMwaisumo #GospelMusic #HitsSongs
#VailethMwaisumo #GospelMusic #HitsSongs
- Category
- Greatest Hits
Comments